Wadau tunawashukuru kwa Kushiriki kwenu.
Tunamshukuru Mwenyezi MUNGU,Mwoaji amefanikiwa kumpata Mke Mwenye Sifa 15 Kati ya 16, Kilicho Bakia Hivi sasa ni mchakato wa ndoa yenyewe Kukamilishwa.
Tunamshukuru kila aliye husika kwa namna yoyote ile kuchangia mada hii.
Mke mwenye hizi sifa 16...
Kila Mtu ana Imani yake,mimi namkubali sana Mwamposa.
Mwanamke anayemkubali Mwamposa na Wenzake nitamwelewa zaidi.
Fuata Imani Yako na mimi Nina yangu.Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.