january ni mzalendo anahaki zake binafsi za kirai, ninampongeza kwa uthubutu wake kama kweli anayo nia ya kugombea jimboni kwao. nivema kuunga mkono vijana wasomi na wenye mitazamo kushiriki katika maamuzi ya maendeleo ya nchi yetu kuliko kusambaza maneno ya kuvuja mwiyo ya vijana eti kwasababu...
January ni mzalendo kama kweli ameamua kwenda kugombea mimi binafsi nampongeza kwa nia yake, nampiga mwandishi huyu juu kwa maneno yake ya kukatisha tamaa vijana walio na mwiyo ya uthubutu ninatamani vijana wengi zaidi wasomi na walio na mtazamo mpya wajitokeze . katika kusoma kwangu naona alie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.