Recent content by Emhyr var Emreis

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa 400K kwa riba na dhamana

    Branch wanaanza na 20K. Kuhusu wengine hao, nikiwaface wataanza kuraise irrelevant speculations na judgement sizizo na tija. Ndo maana nimeamua kuja directly kwa wanajamvi.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa 400K kwa riba na dhamana

    Sawa haina shida. Changamoto nipo DSM. Kama una representative DSM sawa.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa 400K kwa riba na dhamana

    550K boss
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa 400K kwa riba na dhamana

    Hapana, thamani yake ni 550K mkuu. RAM 8 GB, 256 ssd storage, core I5 processor. Iko bien.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa 400K kwa riba na dhamana

    Ina effect gani kwenye maada mkuu.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa 400K kwa riba na dhamana

    Hapana mkuu. Siuzi, naihitaji ndo maana naiweka bondi. Kuhusu thamani, sasa ikiwa 3x nikikupa then ukatokomea nayo je. Maana lazima mzani ubalance.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa 400K kwa riba na dhamana

    Habari wakuu. Kama mjuavyo shida haibishi hodi. Nimepata dharura na nahitaji mkopo wa shilingi laki 4 (400,000 tshs). Nitarudisha baada ya siku 30 kwa riba ya 20%. Dhamana ni laptop yangu. Naishi Dar es Salaam. Kwa yeyote mwenye uwezo huo au anayefahamu taasisi inayotoa huduma kama hizo...
Back
Top Bottom