Recent content by Emer1

  1. Emer1

    Nimefungiwa account yangu ya Airtel Money, nimeenda makao makuu zaidi ya mara tatu bila mafanikio

    Hapana miamala iliyo ingia yote naifaham sijaona muamala ulio kosewa
  2. Emer1

    Nimefungiwa account yangu ya Airtel Money, nimeenda makao makuu zaidi ya mara tatu bila mafanikio

    Nimefungiwa account yangu ya Airtel money toka tarehe 2 mpaka leo wanadai kuna mtu alituma pesa kimakosa ambayo ni TSH 10,000 lakini kwenye account nilikuwa na zaidi ya hiyo nikawaambia muamala wa huyo mtu wangeurejesha Nimeenda makao makuu yao zaidi ya mara 3 lakini sipewi msaada...
Back
Top Bottom