Recent content by Embesha

  1. Embesha

    Nasumbuliwa na Makohozi mazito katika koo

    Naomba tuchat wasap tafadhali. 0784448747
  2. Embesha

    Nasumbuliwa na Makohozi mazito katika koo

    Tafadhali msaada nimekuwa nikisumbuliwa na makohozi mazito katika Koo yamegandamana katka Kuta za koo. Napata shida sana naaibika mbele za watu nimazito sana. Niko Arusha test gani nifanye au hospital gani niende kupata msaada au dawa gani nitumie kuondoa mucus hii.
Back
Top Bottom