Recent content by emanuel goa

  1. E

    JamiiForums Tanzania Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine

    Hii ni vibaya sana inafyeka watu sana
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hivi nani comedian au mchekeshaji kati ya Trump and Zelensky

    Wewe tukupuuze ni uwezo gani aliouonyesha zelensk kutaka kujiunga nato au hauna jioya nawewe
  3. E

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje (baba)Laurent Kabila atofautiane kimtazamo na(mwana) Joseph Kabila?

    Baba mzee kabila hakuwakataa wanyamulenge aliukataa mkataba uliotaka kugawa congo yaan kivu kusini na kaskazin ziwe nchi kwa maslahi ya watusi wachache na Rwanda
  4. E

    JamiiForums Tanzania John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

    Mashabiki wa ukrein wanasema ukrein alikuwa anapigana mwenyewe bila misaada sasa acha aendelee tuone
  5. E

    JamiiForums Tanzania John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

    Unamlaumu trump kwa kipi sasa kama ukrein anajitegemea aendelee na vita bila marekan tuone
  6. E

    JamiiForums Tanzania John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

    Waambie ukweli mchana kweupe hawaoni ukweli
  7. E

    JamiiForums Tanzania John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

    Hivi kwanini ulijiita proved bora ungejiita lessness maana HUJUI historia ya hii vita ww unaleta ushabiki hapa
  8. E

    JamiiForums Tanzania John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

    NATO ilinunua ugomvi wa urusi na ukrein nyuma ya pazia ndio maana trump amesema hatasaidia tena ukrein imenywea
  9. E

    JamiiForums Tanzania John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

    Ndio maana marekani na NATO ni dude kuubwa sio kama ubeligiji
  10. E

    JamiiForums Tanzania John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

    Mwooongo sana ukrein anasaidiwa kwa kila kitu na NATO wanajeshi, siraha ,na logistic
Back
Top Bottom