Shida imeanzia kwenye mgomo wa daladala, siku ya Leo Mbeya usafiri wa pikipiki (bajaji, maguta, boda) ulikuwa wa kugombaniwa sana.
Migomo hii imekuwa ikitokea mara kwa mara bila muafaka wa kudumu sababu ya conflicts if interests, baadhi ya mamlaka zinazohusika kutoa solution zina watumishi...
Ndugu wanajamii na mamlaka husika,
Huu ni uendeshaji hatari sana wa chombo cha moto na ni jambo ambalo halipaswi kuachwa liendelee kuwa kawaida.
Kama inavyoonekana kwenye video, dereva wa bajaji hii amejaza abiria kupita kiasi hadi amekosa kabisa nafasi ya kawaida ya kukaa. Ili kuweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.