Recent content by Elly Simeon

  1. Elly Simeon

    USAJIRI WA WANAFUNZI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA CHUO CHA MARANGU

    😂😂😂😂😂😂 Sasa ulitaka nianze kuonesha habar za A kubwa na a ndogo eti
  2. Elly Simeon

    USAJIRI WA WANAFUNZI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA CHUO CHA MARANGU

    Kaka, nlimaanisha application aiseee nmefuatilia kwa kina sijapata sabab kama ingekuwa online application nadhan ningeona kwa tovuti yao Lakini sivyo na mawasiliano waliyoyaweka ukiwaConsult hakuna replay yoyote maana hata namba ya simu haipokelewi na sijui nao kama wana utaratibu wa kupokea...
  3. Elly Simeon

    USAJIRI WA WANAFUNZI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA CHUO CHA MARANGU

    Jamani samahani wanajamvi, naomba kuuliza eti usajiri wa wanafunzi wapya CHUO CHA UWALIMU MARANGU kwa mwaka kwa mwaka 2019/2020 unafanyika Mwezi wa ngapi?? Maana nmefuatilia Sana kwenye tovuti yao sijapata kuona chochote cha kunipa mwongozo, na nahitaji Sana kusoma pale mwaka huu au nmechelewa...
Back
Top Bottom