Recent content by ellie24

  1. ellie24

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Cement

    Poa poa Mkuu. Ntakuchek tuyajenge
  2. ellie24

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Simba Cement

    Habari wana Jamii, naamini jumatatu inakwenda vizuri. Nimekuwa nafanya Biashara ya kuuza vifaa vya Ujenzi kwa muda kidogo ila sasa hv natamani kuanza biashara ya kununua na kuuza cement toka kwa wakala kutoka kiwandani kabsa au kwenda kiwandani na kuchukua cement kwa jina la wakala kutoka Tanga...
  3. ellie24

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Cement

    Habari wana Jamii, naamin weekend inakwenda vizuri. Nimekuwa nafanya Biashara ya kuuza vifaa vya Ujenzi kwa muda kidogo ila sasa hv natamani kuanza biashara ya kununua na kuuza cement toka kwa wakala kutoka kiwandani kabsa au kwenda kiwandani na kuchukua cement kwa jina la wakala kutoka Tanga...
  4. ellie24

    JamiiForums Tanzania Godoro safi la kulalia

    Habari wanajamii, Jamani naulizia ni godoro la aina gan ambalo ni zuri sana (OG) na bei zake na yanapatikana wap kwa ajili ya watu wazima hasa wa wazee. Mama yangu anakuja mjini kutibiwa nahitaji kununua godoro zuri kwa ajili yake.. Naomba mapendekezo tafadhari lakin wandugu.
Back
Top Bottom