Chuo ni MWENGE university kiko Moshi Kilimanjaro tangu mwaka 2015. Naupenda ualimu sana na Nina kipaji cha kufundisha ndo maana naiomba nafasi hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina elimu ya shahada katika ngazi ya ualimu na uzoefu wa kufundisha katika shule za private kwa miaka 3. Hivyo kama una uhitaji wa mwalimu wa aina hiyo nitafute kupitia namba hii. 0764068964.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.