Recent content by Elite_man

  1. E

    Viambatanishi hivi navipataje? NSSF number, Police Clearance Report na Barua kutoka HESLB

    Asante mkuu kwa clarification nzuri...nashukuru sana
  2. E

    Viambatanishi hivi navipataje? NSSF number, Police Clearance Report na Barua kutoka HESLB

    Habari wakuu, Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti. Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number, Police Clearance Report na Barua kutoka HESLB Je, nazipataje document tajwa na mimi ni recent graduate...
  3. E

    Naomba mwongozo ya interview ya Junior Safety officer

    Asante sana mkuu...nafanyia kazi sasa hivi🙏
  4. E

    Naomba mwongozo ya interview ya Junior Safety officer

    Inadeal na Electrical, Heating, Ventilation and Air Conditioning, telecommunications, ICT and Security Systems. Ni Construction Company
  5. E

    Naomba mwongozo ya interview ya Junior Safety officer

    Asante mkuu nashukuru sana🙏
  6. E

    Naomba mwongozo ya interview ya Junior Safety officer

    Habari ya muda huu, Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview. Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza. Natanguliza...
  7. E

    Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

    Asante kaka....nitarekebisha, honestly mm sio muhuni.
  8. E

    Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

    Habari, Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA. Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  9. E

    Maombi ya internship kada ya mazingira

    Asante mkuu ngoja nifatilie zaidi
  10. E

    Maombi ya internship kada ya mazingira

    Habari... Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi anayotupatia mpaka saa hii🙏..... Mimi ni mhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA (Sokoine University of Agriculture), with Bsc. Environmental Sciences and Management (recent graduate). Niko hapa...
Back
Top Bottom