Habari za mda huu wakuu,
Daah leo nimejichanganya kidogo wakati nafanya transaction kupitia Vodacom, nikajikuta nimenunua muda wa maongezi wa 38K.
Kama kuna mtu anahitaji muda wa maongezi Voda tusaidiane hapo.
Habari wakuu,
Samahani, naomba kufahamishwa bei ya bodaboda mpya na used pamoja na ushauri wa aina ya bodaboda iliyo bora zaidi kibiashara kwa hapa Dar.
Pia, vitu vya kuzingatia kabla ya kununua bodaboda used. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.