Recent content by Elineema Mosi

  1. Elineema Mosi

    Mjadala mpana wa kitaifa: Tufanye Nini ili kuisaidia Tanzania kupata katiba mpya

    Nawasalimu ndugu zangu,kulalamika sio tija na hakuna manufaa kwa kulalamika.Tujadili kea mapana yake kitu gani kifanyike tumshawishi Rais yetu atupatie Katiba mpya maana ni kiu ya watu wengi nchi.
  2. Elineema Mosi

    CHADEMA: Maigizo ya Ngeleja hayana tija kwa Taifa, ni 'utakatishaji wa fedha' haramu za ESCROW

    Kwa mtazamo wangu binafsi sijaona mantiki ya Mh.Ngeleja kurudisha hela serikalini, hapo ni sawa na kuingilia kesi iliyopo mahakamani au kumpalia mkaa aliyempa hizo Hela. Alipaswa amrudishie aliyempa ili akishindwa kesi aweze kulipa hizo hela zote alizowagawia watu.
  3. Elineema Mosi

    Msajili wa vyama vya siasa: Sikumrudishia Lipumba uenyekiti CUF

    Tabasamu kwa wapenda Democrasia hai limefifia ila Patakucha tu!!!!?. Nimehuzunishwa sana na namna alivyofanya Prof.Lipumba, NI AIBU KUBWA NA FEDHEHA KWA HESHIMA YAKE. Mtu uache askari katikati ya vita alafu uje na kutaka kuongoza jeshi tena vitani?. Hizi ni siasa za wapi msajili kutoa barua...
  4. Elineema Mosi

    Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    Tuwe na uwezo wa kuhoji matumiz ya Serikali, vinginevyo tutalipia hadi vitu vya kizembe zembeee
  5. Elineema Mosi

    Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    KAMA KWELI NI AKILI YAKO BASI NAKUONEA HURUMA KIUKWELIII
  6. Elineema Mosi

    Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    KWANINI USIHOJI MATUMIZI YAKE KWA VIONGOZI?
  7. Elineema Mosi

    Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    HAHAHAHAAAAAAAAAAA BORA HATA UMENICHEKESHA
  8. Elineema Mosi

    Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    NILIPE LAKINI PIA NINAHAKI YA KUHOJI MATUMIZI YAKE
  9. Elineema Mosi

    Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    NAELEWEKA VIZURI SANA LABDA WEWE KICHWA NGUMU!!!!???
  10. Elineema Mosi

    Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    kwahiyo wewe unaafiki kulipia uzembe na hila za watu wachache!!!!??
Back
Top Bottom