Ndiyo lakini ninaomba Ushauri tu wakufanya kuhusu hiyo Akaunti kwasababu Twitter ni moja ya mitandao ya kijamii inayoweza kukukutanisha na mawazo kuntu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mimi nina akaunti Twitter ambayo nililog out na sasa nikitaka kulog in inanikatalia hata hainitumii conformation message sasa sijui nifanyeje wanajopo. .
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.