Recent content by Elichapo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Watu wenye busara na hekima wametoa michango yao toka jana na nime appreciate na imenifungua sana ! Sasa leo unataka nianze kusema nataka kufanya biashara fulan lazma nikae nichekeche kuna watu wamekuja dm na wamenipa shuhuda zao nimejifunza but sio kuja na kashfa kwenye comments as if nimefanya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Acha ushamba wa kujifanya perfect ! Ww kama huna cha kuandika kaa kimya ! Nini kinakuwasha kuja kucoment!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Kaka watu wanauliza tena wana hela nyingi kuliko hiyo! Hayo maswali tunauliza yupo mwinginr anaweza ponyeka kwa ushauri wawatu humu usijione perfect sana hii ni dunia tu kaka !
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Utaolewa ww ! Sio kila kitu una comment shauri ako! Ww nini kinakuuma ?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Acha shobo utatiwa shauri ako !!sio kila kitu unashobokoea !
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Nikupange nipate faida gan? Ivi una age gan?? Nisije kuwa nabishana na katoto ka 2000 soma uzi wang utajua ! Sio kudandia tren kwa mbele utaumia
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Ningejua ningempa Aisee saiv ningekuwa nakula nyama
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Bajaji kahama naona ziko nyingi ngoja nizid kuchakata Nina gar mbili premio na porte naweza geuza porte ikawa tax
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Asante kwa good advice nitafanya hivyo
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Tabia zake ziko vile vile manake yeye bado yuko kazn mimi niko home sioni utofauti hata anapopokea mshahara labda huko baadae
Back
Top Bottom