Recent content by Eliabu

  1. Eliabu

    Elia F Michael: CCM niacheni niendelee na udiwani wangu

    Tafuta ushauri sahihi kabla ya kukimbilia huku kuleta uvumi na uongo ambao ukitakiwa kuuthibitisha itakuwia ngumu. Ulimaliza uchaguzi ukazungumza vizuri, huku unakokwenda njia ni mbovu. Acha kiki rahisi kama hizi.
  2. Eliabu

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    They are just wasting thir time. CHADEMA is now growing morning and evening! CCM hawazijui mbinu za kuwazuia. Na hapo ndo wamewapatia hatimiliki ya hilo jimbo. Let me wait to see the results of tha judgement! lkn NEEMA is coming.
Back
Top Bottom