Recent content by Electrician j

  1. E

    Natafuta kazi za umeme

    Habari za mida wapendwa Naitwa Jovin, napatikana Musoma Mjini. Nina umri was miaka 23 Nina elimu ya Level 3 ya Electric Installation natafuta kazi za Umeme wa majumbani au magorofani na viwandani Atakae niitaji mawasiliano no 0683648451 au email jovin.daud@yahoo.com Kazi njema wapendwa
Back
Top Bottom