Recent content by Electrician Gau

  1. Electrician Gau

    JamiiForums Tanzania Muhimu kufanya ukaguzi na marekebisho ya muda Fulani na ya mara Kwa mara

    Ili kuepuka madhara yawezayo kutokana na umeme kutokana na sababu za kutofanyiwa ukaguzi na marekebisho ni vyema kuweka utaratibu huo Kwa usalama wa mifumo yetu ya umeme. Ambavyo vyanzo vya matatizo yatokanayo na umeme ni kama uchakavu wa vifaa na mfumo Kwa ujumla,ulegevu wa ufungwaji wa nyaya...
  2. Electrician Gau

    JamiiForums Tanzania Ambatana na fundi umeme mshauri

    Muda mwingine mifuno yetu na kazi zetu uonekana kama uchafu baada ya kukosa mpangilio sahihi,na umaridadi wa kazi au mifumo,lakini tutambue mwishowe waweza kusababisha matatizo ndani ya mifumo yetu ya umeme na Sisi Kwa ujumla kama watumiaji na wadi wa umeme, hivyo ni vyema kuhoji juu ya...
  3. Electrician Gau

    JamiiForums Tanzania Ambatana na fundi umeme mshauri

    Ndugu mdau kwa umeme wa majumbani na viwandani. Unaweza kupata huduma kama vile marekebisho, ujenzi mpya wa mifumo ya umeme, ushauri au suluhisho la tatizo katika mifumo ya umeme, ukaguzi elekezi, kubadilisha mifumo ya zamani na kuweka mifumo mipya, vipimo na vyeti vyenye taarifa ya mifumo ya...
  4. Electrician Gau

Back
Top Bottom