Recent content by Eldorah2013

  1. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

    Sjui ni uoga ama ni nini sipendi kutoka sina pesa ya tahadhari hata iwe ni mwenza wangu wa muda mrefu lazima niwe na akiba yangu aisee
  2. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

    Pole sana aisee kumbe ulianzq ujana na fataki mwenzetu😆😆😆😆
  3. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Weeeee nan kasema
  4. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Bora uwe mlevi afu tuwe wote tunalewa afu nakukokota tunarudi home
  5. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Umri huo mpenzi mbona km unakuacha?
  6. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Mmmh naogopa
  7. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Kwa namna hiyo utaoa kweli
  8. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Inamaana hata mimi ungenichoka kipenzi mdukuzi 😢
  9. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

    Dah😂😂😂😂😂
  10. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Kuna nafasi flani anampa uyo jamaa ndo maana anaendelea kuwasliana naye, maana navojua mwanamke akitongozwa km hana aja ya kuendelea na mawasliano anakuwa na majibu yenye msimamo ambao mwanaume mwenye akili timamu haezi endelea muda wote huo....chunguza kuna jambo utagundua afu cha kuuliza, mkeo...
  11. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Kutongozwa kwa mwanamke hawezi kuzuia, ila anaweza kuzuia mazoea mara moja na asiendelee tena
  12. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Mkeo nae bado anamuintertain uyo jamaa, mtu ameshamkataa kwa ukali na msimamo wa kistaarabu kabisa jamaa atafikiaje hatua ya kumtumia utupu wake? Angalia asije akawa anakupa taarifa tu ujue kuwa kwamba nayeye anapendwa anatongozwa...
  13. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Kabisaaaa maana kama ni mtu mzima ameshapewa majibu ya kukataliwa atawezaje adi kutuma picha za utupu wake?
  14. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Ungetumia tu hekima ya kuongea na huyo jamaa...kwamba acha mchezo unaofanya tafadhali huyu ni mke wangu
  15. Eldorah2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti alituchanganya mimi na classmate wangu, tukampangia tukio

    Vijana wa zamani busara ilitawala sana.....wahuni wa saivi ujinga mwingi kisasi kikuubwa na unakuta hata chupi ya afu3 hajawai kumnunulia binti
Back
Top Bottom