kiongozi kanda ya ziwa mashariki na mgombea ubunge jimbo la bunda mjini 2015 aliyetangaza nia Dr. Webiro L.Webiro{Umwana wayeka}. akiongea na wananchi wa bunda mjini kwenye vijiji vya nyatwali ziwani,bukore,tiring'ati na mariwanda mwishoni wa wiki.
Akiwa kwenye ziara yakuelekea serengeti...
Sisi kama wana arusha tuna furahi sana kusikia hayo kwani dhahiri shairi mabadiliko yakifika hakuna ambaye anaweza kusema hapana........mapambano ya naendelea na mapinduzi ya Tanzania ya taanza
ia huku Arusha kwani huku ndiko chimbuko la mabadilikoooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.