Hakuna mahali nimemdogosha Mungu, nachojua Mungu ni muweza wa yote! Na hapangiwi sasa wewe unachotaka ni kumpangia! Akuulize wewe nani?? Huo mfumo unaoutaka unataka aje ake na wewe umwelezee akusikilize ndo afanye!
Huo mfumo unaoutaka kama yeye muumbaji hajaweka! Siku akiamua mwenyewe ataweka...
Hakuna mahali nimemdogosha Mungu, nachojua Mungu ni muweza wa yote! Na hapangiwi sasa wewe unachotaka ni kumpangia! Akuulize wewe nani?? Huo mfumo unaoutaka unataka aje ake na wewe umwelezee akusikilize ndo afanye!
Huo mfumo unaoutaka kama yeye muumbaji hajaweka! Siku akiamua mwenyewe ataweka...
Akili zingine mbovu kweli hata hazifikirii eti hao watu hawajamruhusu yaani kwanza hajawaumba halafu unataka awaulize wewe unawazo la kutengeneza kiti unaweza kukiuliza kwenye mawazo kuwa nikuunde ama nisikuunde sasa chenyewe kitakuwa kimeamua au wewe
Kuna mahali tuliachia ila nataka kuendelea kidogo!
Msimamo wangu zaidi ni upande wa Nuru! Na malejereo ni upande wa Nuru!
Hapa duniani ukizungumzia vitu katika ulimwengu wa kiroho na wakimwili vingi na vyote viliwekwa na Mungu! Na upande wote wa giza na mkuu wao Shetani huwa wana copy tu...
Mtu akisha lipata lango anakwenda moja kwa moja kwenye ardhi na kufanya mambo yake, kwa hiyo kuna watu wana weka sawa ardhi halafu lango linakuwa mikononi mwa upande mwingine hapa ndo yale mambo yanaotokea kwa kujirudia rudia, kila baada ya muda!
Najua kuna viporo vyangu vimo humu pending ntakuja nivimalizie! Kazi zimenibana sana! Na tuje tuelezane kuhusu malango maana si kitu cha kuacha kuzungumzia ukitaka kufanikiwa hapa duniani na kupata ushindi sehemu mbali mbali
Usha wahi jiuliza unaweza kukanyaga mkoa fulani au mtaa fulani unakuta...
Somo maridadi kabisa hili, ndugu 7seven!
Kuna kajambo nataka kuongezea hapa, kuna kitu kinaitwa Malango! Na malango yamegawanyika katika sehemu mbali mbali!
Kuna lango la kuingilia dunia hii( liko pale israel, ukitaka kuvuruga au kuiweka sawa dunia hii basi Israel pale kuna mlango, na Mungu...
Ni kweli kuna jamaa tulikuwa tumesafiri kikazi mkoa fulani tuka lala hotel moja, usiku akajitutumua akanivamia! Nilikuwa nimelala, basi nikamuona( rohoni) anahangaika kila akigeuka afanye yake ninae akaamua kuondoka! Maana alishindwa alichokuwa anataka kufanya,
Kesho asubuhi yeye ndo nikamkuta...
Ile kwamba ulikuwa kwenye jiwe ni moja ya dalili kuwa tayari ulikuwa umeshinda, maana maji yaani dhoruba ilikuwa imekuzunguka na wewe uko juu yake tena kwenye jiwe, ukienda kuchunguza ndani ya biblia kuhusu mawe au jiwe ni kuwa Yesu ndiye mwamba na jiwe kuu la pembeni
Hii ni ushindi mkubwa kuwa...
Kiukweli 7seven Tanzania ina mambo kadhaa ambayo inaifanya kuwa hivi, cha kwanza moja ya malango ya afrika na Tanzania ni lango! Kwa historia ni nchi ambayo ilisaidia sana ukombozi wa nchi za afrika kuwa huru, nyingi, na imekuwa ikishiriki sana kwa harakati za kiamani! Angalia maraisi wangapi...
Ukitaka kujua Musa alikufa, soma hapa
Yuda 1:9
Lakini Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemee.
Na nadhani Mungu hakutaka Musa ajulikane kaburi lake kwa sababu alikuwa...
Unaweza ila yafaa zaidi kwenda moja kwa moja kwenye ardhi ya ulikozaliwa.Maana unapovunja maagano unachukua na hatua nyingine ya kuimiliki, kumiliki huku maanaake umeshavunja sasa maagano nini kinafuata ni kumiliki yaani kuweka kiti kingine cha nuru, na zoezi hili kwa upande wa nuru tulilopewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.