Recent content by Edwin mkw

  1. E

    Msaada: Namna ya kuhairisha masomo Chuo kikuu

    Kachukue barua ya chuo ulicho dahiliwa ya kuacha chuo then peleka tcu wao ndo wanakufuta kwenye system hata mm nilifanya hvyo mwaka jana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    Naomba kujua kuhusu, bachelor of science in electrical engineering katika chuo cha SAUT

    Kama una sifa nzuri nenda kasome must ,dit au udsm Kama una diploma njoo Arusha tech Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    Kuna aliyepata majibu baada ya kukata rufaa Bodi ya Mikopo?

    Hata Mimi wmeniandkia hvyo lafu cjaona kiac walichoongeza
  4. E

    Tuliokosa mkopo awamu ya kwanza na ya pili wenzangu mnajiskiaje

    hawatoi taarifa kama kuna batch 3 m mwaka w 3 mfululizo nmekosa
  5. E

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    mwaka juz kna washkaj walienda kwa sabab walikuwa wanafunz walipewa karatas waandike majina wenye malamiko baadh wakapata second round ila mtembea bure sio sawa n mkaa bure mwaka huu wanatoa kw wanafnz elf 45 tu so hapo wamebaki kama elf 15 ndo watapat na walioomba mkopo wanazid elf 75 unaona...
  6. E

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    hyo weng tmeandkiwa angalia kwny PDF kama upo m sipo ila j3 lazma nitimbe bodi nkajue mbivu na mbichi
  7. E

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    koz ambayo npo mm nmeona watu 8 tu da a noma kwel batch 2 wiki ijayo czan km watazd elf 10 huu mkopo kama tatu mzuka
  8. E

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    inamaana Sie ambao tmeandkiwa no information na wait for allocation ndo tshakosa tsubr next batch
  9. E

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    we umepata wamekundikiaje kwenye account
  10. E

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    aliyepata kwenye account yake anaandikiwaje
Back
Top Bottom