Computer crime, or cybercrime, is any
crime that involves a computer and a
network.[1] The computer may have
been used in the commission of a crime,
or it may be the target.[2] Netcrime is
criminal exploitation of the Internet,
inherently a cybercrime.[3] Dr. Debarati
Halder and Dr. K...
Hilo nalo pia ni wazo zuri,tatizo ni kwamba financial sipo vizuri ndugu! Nlifikiria nikaona nikipiga advance may be Mungu akijalia nikaja kupata mkopo mambo yatakaa vizuri!!
Thanx ndugu ila elewa kuna wanaofanya mchezo kuandika ishu kama hizi kwenye mitandao,but kuna wengineo tunakuwa tunahitaji msaada kweli..Mimi cjaomba msaada wa pesa pekee bali hata ushauri nnaopata pia nashukuru!!!
Nataka nikasome Advance,nimejaribu kucheck shule ya private ambayo ipo vizuri na ada ni nafuu nikapata Jamhuri high school ipo dodoma!!! Ada ni laki sita na elfu tano!!
Plz kwa jina naitwa Edwin Daniel,ninajitokeza mbele yenu kuomba msaada kwani cna sehemu nyingine ya kutegemea..Mimi ni mtoto wa 6 na wa mwisho katika familia yangu na kwa bahati mbaya ndugu zangu hawakufanikiwa kusoma mpaka elimu za juu..Mimi ctaki kuwa kama ndugu zangu,nilihitimu elimu ya form...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.