Recent content by Edward wa kwetu

  1. E

    Kiwanja cha futi 40 kwa 50 kinatosha kujenga nyumba?

    Wataalam naomba mchango wenu wa mawazo. Hivi kiwanja chenye ukubwa wa futi 40 kwa futi 50 kinaweza kutosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule public toilet na jiko. Naomba mwenye uzoefu anisaidie hili
Back
Top Bottom