Recent content by Edward Marekani

  1. E

    Kumiliki duka la dawa muhimu ni lazima mhusika awe amesoma program ya pharmacy?

    Habarini wana JF, Naomba kujua kama ni lazima mtu awe amesoma pharmacy ili aruhusiwe kufanya biashara ya duka la dawa muhimu za binadamu au la. Naomba msaada kwa hili tafadhali.
Back
Top Bottom