Recent content by edsonda

  1. E

    JamiiForums Tanzania Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    naomba kurekebisha hapo mwisho, nilimaanisha TShs 100,000,000/=
  2. E

    JamiiForums Tanzania Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    Jamani msije mkaniona nawachosha kwa kuleta thread nyingine juu ya Pinda kukataa shangingi. Mi nina machache ninayotaka tuyajadili hapa, si tu kukataa bali uhalisi na ukweli wa kuwepo kwa gari yenye thamani hiyo. Tuweni makini sana na watu wa procurement wakati mwingine especially wenye...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kuapishwa Uwaziri Wasio Wabunge

    Najua mnadhani sipo makini na ufuatiliaji wa HABARI, lakini mkumbuke mfano nilioutoa ni Shamsi Vuai Nahodha AMBAYE ni MBUNGE wa KUTEULIWA na aliteuliwa wakati Bunge session imeisha Dodoma. Hivyo pia Prof. na Mengji kama angepewa UWAZIRI nae ingekuwa TABU. Unless walipata MUDA wa kuapishwa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kuapishwa Uwaziri Wasio Wabunge

    Hivi kile kiapo wabunge wateule wanachofanya bungeni mbele ya spika si kina maana baada ya hapo wanakuwa wabunge kamili na si wateule tena ili waweze kikatiba kufanya kazi zao. SASA inakuwaje akina Shamsi Nahodha ambao ni wateule tu na hawajala kiapo bungeni wanaapa kuwa mawaziri wakati ILI...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe na Powerpool: Kuna mgongano wa maslahi na Dowans/Richmond?

    Kwa wabongo wenye uchungu, angalieni hizo websites hapo chini na kuanza ku-push ili wabunge na tanesco wanunue hizo generator more powerful and cheaper by far comared to what dowans want to do. And that is not a complete list each and everyone of us find more companies, the are all available...
Back
Top Bottom