Hello wana jamii,shughuli zinaendaje?jamaninauza kuku wa nyama wa kisasa maarufu kama broilers,kwa bei nafuu kabisa kama ifuatavyo;
kuku akiwa mzima hajachinjwa ni shilingi 5,000/=,
kuku akiwa amechinjwa nakutolewa uchafu na kusafishwa ni shilingi 8,000/=tu (hapa...