Recent content by Edesius Rwegoshora

  1. E

    Hisa ni nini?

    Nawashukuru wote mliotuelimisha kuhusu swala zima la hisa ila naomba msaada kwa swali langu hili kwamba.....ukiamua kujitoa katika kampuni kuna fidia ambayo inabidi ulipe au ni free at any time kujiondoa? lakini pia naomba kujua, ukitaka kuuza hisa zako unawezaje kumpata mnunuzi? Naomba msaada...
Back
Top Bottom