Recent content by EDDOX

  1. E

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Affidavit au Deed Poll katika kuomba Ajira Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu wa kufanikiwa?

    Wadau hivi katika suala la kuomba ajira mpaka kwenye interview,je ukiwa unatumia AFFIDAVIT AU DEEDPOLL kutokana na changamoto ya majina. Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu kwako wa uwezekano wa kufanikiwa?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya majina kwenye ajira

    Kwann?unasema Sio kama ni busara kiongoz Naomba nieleweshe tafadhali
  3. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya majina kwenye ajira

    Kuna gharama?kiasi gani?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya majina kwenye ajira

    Nimekupata kiongoz,sasa kwangu mimi NIDA iliotokana na cheti cha kuzaliwa ndo sahihi Jina kamili. ,kosa ni huku katika vyeti vya shule ndo jina lilikosewa je Na apo niipata iyo deedpoll si naweza kuishi nayo mazima au ina expire date limit
  5. E

    JamiiForums Tanzania Je, Affidavit inatosha katika maombi ya ajira kwa wenye changamoto ya majina mawili?

    Mdau Hivi mfano mimi Katika NIDA naitwa NGEDERE HAMADI NYANI ila katika vyeti vya form4 na chuo naitwa NGEDERE HAMAD NYANI ,yani tofauti kule jina la kati lina "I" ila huku hamna "I" je apo nahitaji nini cha kufanya ili mambo yakae sawa.
  6. E

  7. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya majina kwenye ajira

    Wadau naomba kufahamu,hivi katika suala la kuajiriwa kwa vyeti, iwapo jina lako la kati herufi moja haifanani katika vyeti na nida Mfano, Jina la kati huku ni "Hamad" na kule ni "Hamadi". Tofauti ni uwepo wa herufi "I" ya mwisho Je? Kuna effect gani apo na kuna namna yoyote ya kusolve apo ili...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na utofauti wa majina kwenye vyeti na vya shule na NIDA inaweza kuwa ni sababu ya kutokuitwa kwenye usaili?

    Hapo tofauti yake ni nini,na matumizi yake katika ishu hizo
  9. E

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya NIDA vinahusika kuomba ajira?

    Wadau naomba kujua hivi katika suala la kuajiriwa,je cheti cha kuzaliwa na NIDA navyo vinahusika sambamba na vyeti vya taaluma..
Back
Top Bottom