Okay, shukrani kiongozi kwa ushauri na ufafanuzi @ Mshana Jr.
Lakini naomba ni rudi tena kwako kiongozi MSHANA JR,
Niumeuliza hivyo kwasababu jana nilipanda gari moja aina ya Toyota PASSO nilikuwa natokea Mwanza kuja Shinyanga umbali ni Km 165, dereva alikuwa anatumia sana O/D OFF kila alipo...
Naitwa, ELLY BASHIRI
shukrani kwa utaalamu na ujuzi wenu wanajamvi wa JF hususani ktk taaluma ya magari. Binafsi naomba ufafanuzi kidogo na ushauri kwenu. (1) Je ni vyema kuwa unaitumia O/D OFF per 80 speed above or O/D ON as usually kwenye safari ndefu..? eg; Mwanza to Dar (1,500 km)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.