Recent content by E.A.MWAKYUSA

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine (CPU)

    nahitaji desktop yenye uwezo mkubwa kidogo. ram kuanzia 2gb, hdd 250,procssor 2.0 nichek kwa 0628033320
  2. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu ya elfu 70

    Delzzy nitext bac tufanye biashara
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu ya elfu 70

    Jamani wadau natafuta simu ya smartphone kwa bei ya elfu 70 kwa yeyote mwenye nayo anicheki kwa namba 0784791233. Nipo dar
  4. E

    JamiiForums Tanzania Boda boda aina ya fekon

    Nainunua kwa laki 8 lkn nakupa kwanza laki 5 unabaki na kadi nikimaliza unanipa kadi yangu kama upo tayali nicheki
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nina 300,000 nahitaji note2 au s3

    Ninayo s3 njoo na hiyo laki 3 yako nikupe nitafute kwa namba 0784791233
  6. E

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya fekon bei laki 9

    Weka namba za simu weee muuzaji
  7. E

    JamiiForums Tanzania For sale: Sony xperia J

    Kilo 280 nicheki mkuu 0784791233
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Gari aina ya Noah

    Mgombani ni wapi?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Gari aina ya Noah

    Masai dada nicheki tuongee
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Gari aina ya Noah

    Pia hata kama una sherehe naikodisha karibuni
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Gari aina ya Noah

    Haya sasa mwisho wa mwaka huu acha kuteseka wala kuwaza kupandishiwa nauli juu kwenda kwenu kula sikukuu au shughuli zozote zile nakodishwa kwa makubaliano tutayofikia. Karibuni sana. 0784791233.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta bajaj TVS used

    Kama upo serious nipm
  13. E

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo wa 2 million kwa dhamana ya gari tu

    Nashukuru sana kwa msamaha wako lkn mi mwenyewe nahitaji huo mkopo wa mil 2 lkn kama utakubali kubaki na kadi ya gari original na kuandikishiana serikali za mitaa ikiwezekana nakujuana kimakazi mkuu nijibu kama inawezekana
  14. E

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo wa 2 million kwa dhamana ya gari tu

    Ndg yangu kwani ugomvi?? Basi nisamehe bure mkuu sikujua kama nitaeleweka vibaya sorry 4 dat.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo wa 2 million kwa dhamana ya gari tu

    Hapo sasa sijajua labda ajitokeze atueleze iwe na thamani gani
Back
Top Bottom