Hizi apps za mikopo zina matangazo ya Fb na Google(Admob), wanapiga hela kupitia matangazo ya Google(Admob) na Facebook Ads, Hii kukopesha wanafanya kama chambo ili wapate downloads za kutosha ili walipwe hela nyingi zaidi. Me wakijipitisha nawalamba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.