Recent content by DullaSame

  1. DullaSame

    JamiiForums Je, naweza kujiunga chuo cha TIA kwa ufaulu huu?

    Samahani Kwa usumbufu wana JF, Naitwa ABDALAH HAMISI, Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2014 nikapata "C" mbili, "D" moja, "E" tatu na "F" moja.... Kwamaana nina GPA ya 0.7 Swali langu: Naweza kujiunga na chuo cha TIA kupitia alama hizo?
Back
Top Bottom