duh wakubwa wanaipinga PCB
Hapa sio bure kuna kitu! Unajua pcb ni ngumu kuliko pcm kama mtu alimudu pcb hawezi shindwa engineering mpo hapo! Mimi anko wangu alisoma pcb na chuo akachukua bcs ya telecom sasa yupo airtel anakula tano!
acha utani bro mwaka wa nne india anafuata nini na unajiripia au?
Halafu et hii falcut ya electronics and communication eng v/s electrical and electronics eng ipi ni best zaidi?
ninavyojua engineering ni physics na kwenye physics kuna hesabu sasa ukirudi kwenye ukweli utaona hawa wote pcm na pcb wamesoma physics na sometimes pcb ndo anajua zaidi physics kuliko pcm na hili mnaliongeleaje?
Ila si kuna pcb wanahitimu engineering nahisi kila kitu ni kujitoa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.