Mkurugenzi wa Utawala wa TPDC aliyeteuliwa miezi michache iliyopita alamba zaidi ya millioni 100 na kujitetea kuwa milioni 60 ni malipo ya takrima ya bodi. Takrima hiyo ni ya kulipa fadhila za kumteua na kuchakachua matokeo ya usaili wa wakurugenzi wengine. Bibi huyo ameingia kwa fujo za tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.