Recent content by Dubs

  1. Dubs

    Memory cards! Memory cards!

    Nauza microsd card 32GB na adapter yake mpya kwa 30,000/= tu! Wahi ujipatie yako! 0769 382 120
  2. Dubs

    Kiwanja kinauzwa chanika, nusu heka kwa 6.8mil

    Habari! Kuna eneo chanika lipo barabarani ila inauzwa kuanzia heka Mona. Kama bado unahitaji tuwasiliane.
  3. Dubs

    Brand New POKER set

    Wale wapenzi wa Poker sasa unaweza kucheza nyumbani na rafiki zako. Nunua Poker set mpya kwa Tsh 50,000 tu! Nasubiri pm zenu
  4. Dubs

    Mayai ya kuku wa kienyeji

    Nauza mayai ya kuku wa kienyeji. Tray 1 @ Tsh 10,000 Napatikana tabata Karibuni! Pm kwa wahitaji
  5. Dubs

    Off Grid Electricity

    Si umeme wa solar ndugu. Ni umeme wa biogas lakini si ile ya kusindika
  6. Dubs

    Off Grid Electricity

    Habari! Kama kuna mtu ana kampuni inayosambaza umeme vijijini naomba tuwasiliane. Kuna tenda iko wazi. Pm kwanza.
  7. Dubs

    Daktari wa mifugo/Veterinarian

    Namaanisha kwenye maslahi ndugu.
  8. Dubs

    Maziwa fresh ya ng'ombe

    Hayajaongezwa maji ndugu.
  9. Dubs

    Daktari wa mifugo/Veterinarian

    Naomba mwongozo jamani... Kazi ya daktari wa mifugo/veterinarian zinalipa sana maeneo gani hapa Tanzania?
  10. Dubs

    Maziwa fresh ya ng'ombe

    Ni namba ya simu mkuu. Lita ni Tsh. 1500. Kama utachukua kuanzia lita 100 basi bei inapungua kidogo. Hii ni huduma ya kila siku.
  11. Dubs

    Maziwa fresh ya ng'ombe

    0769 382120 karibu!
  12. Dubs

    Maziwa fresh ya ng'ombe

    ​Maziwa fresh ya ng'ombe yanapatikana DSM. Lita 300 - 400 kwa siku. Kama unahitaji tuwasiliane.
Back
Top Bottom