Recent content by DUASMaka

  1. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uundwaji wa Wizara muhimu ya Sayansi na Teknolojia Tanzania

    Okay umeshapata kura
  2. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ni moja ya nguzo kubwa na muhimu katika safari ya kuyasaka mafanikio

    Elimu ni moja ya nguzo kubwa na muhimu katika safari ya kuyasaka mafanikio. Nchi ya Tanzania inatambua hilo na hadi kuweza kuwekeza katika elimu kwa wananchi wake. Tanzania imeweka kipaumbele kikubwa katika utoaji wa elimu kwa wananchi wake. Tangu mwaka 2016 hadi sasa nchi yetu inaendelea...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Haya yafanyike ili kuifikia Tanzania tuitakayo

    Mshindi atatangazwa lin mkuu
  4. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Haya yafanyike ili kuifikia Tanzania tuitakayo

    Unasomeka kiongozi enhee... then..
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Haya yafanyike ili kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi kiasi cha kuweza kuihudumia dunia katika mambo mbalimbali kama chakula, sekta ya madini na hata mavazi endapo zitatumika vema. Tangu kipindi cha uongozi wa Rais na Baba wa taifa J.K Nyerere maneno haya yamekuwa yakisemwa na viongozi na wanamapinduzi...
Back
Top Bottom