Recent content by dtime

  1. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pikipiki/boda boda Vs biashara ya uwakala

    Asant sana mkuu nimeona umenena vya maana sana na nimepata elimu ya kutosha kiukweli
  2. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pikipiki/boda boda Vs biashara ya uwakala

    Sawa mkuu shukranu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pikipiki/boda boda Vs biashara ya uwakala

    Asante sana kwa ushauri
  4. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pikipiki/boda boda Vs biashara ya uwakala

    Sawa mkuu..vp lakini una uzoefu wa biashara ya piki piki? kwa maana kwa siku unaeza pata sh ngapi kiwango cha chini?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pikipiki/boda boda Vs biashara ya uwakala

    Sawa sawa mkuu asante kwa ushauri naamni nitaufanyia kazi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pikipiki/boda boda Vs biashara ya uwakala

    Ndugu zangu naombeni ushauri mini ni kijana nipo Dar Es Salaam eneo la ubungo naomba ushauri ipi inafaa kati ya biashara hizo mbili ambazo ni boda boda ya kuendesha mimi kama mimi au uwakala wa huduma za kifedha kwa maana tigo pesa, m pesa na airtel money. Mtaji uliopo ni 2millions .
Back
Top Bottom