Nahitaji kununua pikipiki ya kutembelea ila siyo mtaalamu wa hizi mashine na sijawahi kumiliki hiki chombo lakini nimepata ushauri na mtu flani kuwa angalau HERO ina ubora ukilinganisha na BOXER , TVS, na zingine . naomba kama kweli kuna anae jua uzuri wa hivi vyomo kidogo anishauri lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.