Recent content by DROCK

  1. D

    Jinsi ya kufanya malipo online 2017 (online payments)

    Shukrani sana mkuu kwa maelezo yako ya kina, sasa naomba kuuliza na gharama za kupata izo card(without bank account) ni kiasi gani? Pia as an advice, which bank is economical ili nianzie huko?? #vyumavimekaza
  2. D

    Jinsi ya kufanya malipo online 2017 (online payments)

    Nipo dar, ofisi zenu zipo wapi na gharama za kuipata iyo card ni kiasi gani?
  3. D

    Jinsi ya kufanya malipo online 2017 (online payments)

    Habari zenu wadau, hope mko mnaendelea vizuri ktk shughuli zenu za kiuchumi. Mimi ninaomba kuuliza kwa anayefahamu ivi kwa banks zetu apa TZ, zipi zinatoa huduma nzuri ya kufanya payments online via debit cards za MasterCard/Visa ?? Na je costs zao zipoje?? Nmewahi kuambiwa kuhusu crdb...
Back
Top Bottom