Recent content by DRLChama

  1. DRLChama

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mzee lkn kavuka mipaka...halafu alionekana kapanic anaongea kwa hasira sana kama kagombana na mtu palepale...kashndwa hata kucontroll anger mbele ya umati wa watu....yan nimemdharau sana kwakwel kabla ya hapo mwanzo...
  2. DRLChama

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mm nimemsikia mwenyewe kwa masikio na macho yangu., kasema 'wapumbavu....malofa...' Kaishiwa hana sera lkn nadhani alikuwa anajitahidi kujipendekeza ili kulinda maslahi yake...
  3. DRLChama

    Maswali ya kuihoji serikali ya CCM na wagombea wake kipindi hiki cha kampeni ni haya

    Na hawaponi mwaka huu... Wananchi wa Kigamboni wana hasira nae mpaka basi. Sijui atakwenda kuwaambia nn!? Meli ya Dar-B/Moyo ni chakavu cha mwaka 1978 lkn kimenunuliwa kwa Bilion9. Uwezo wake ni pungufu mara mbili kwa Meli mpya ya Azam link ya mwaka 2015 ambayo imenunuliwa kwa Tsh Bilion sita...
  4. DRLChama

    Sensa ya kura ni moja ya mbinu waliyoitumia CCM katika chaguzi

    Atakaekubali kutapeliwa kipuuzi namna hyo hafai. Woga ni umaskini.
  5. DRLChama

    Sensa ya kura ni moja ya mbinu waliyoitumia CCM katika chaguzi

    Kwasababu kutokuwemo kwa jina la mpiga kura kwny daftar sio kosa la mpiga kura bali ni uzembe na kosa la NEC. Uzembe wao pengine wa makusudi unamkoseshaje haki mpiga kura!? Njama hzo za kipumbav zimeshapitwa na wakati, watu waelimike waweze kusimamia haki zao za msingi bila kutapeliwa.
  6. DRLChama

    Sensa ya kura ni moja ya mbinu waliyoitumia CCM katika chaguzi

    Wakati wa kampeni watu waelimishwe kuhusu haki yao ya kupiga kura ilimradi ana kitambulisho halali cha kupiga kura hata kama jina halimo kwny daftari la wapiga kura.
  7. DRLChama

    CCM Haitaki Kura za Wanywa Viroba

    Watavikumbuka viroba baada ya Oc25 angalau viwapoze machungu ya kutimuliwa ikulu...
  8. DRLChama

    GE2015 CCM wapoteza Jimbo la Kilindi

    Xafi UKAWA!!!mwendo mdundo mpaka kieleweke.
  9. DRLChama

    Akhsante Kikwete Sasa Maana Ya Serikali Inaanza Kuonekana. Ubaya Ubaya Tu Hadi Wanyooke hawa

    Msimlaumu xana mtoa mada, huenda kalewa. Mwny akili timamu hawezi kuandika upuuzi namna hyo halafu anajifanya kasoma. Yan ccm wahangaike watumie kila mbinu wanazoweza pamoja na kuwatumia hawa mbulula kwny social media lakini mwisho wao ni October25 mwaka huu. Kampeni za mabadiliko wanatupigia...
  10. DRLChama

    Majina umri 18-35 kukosekana uhakiki BVR

    Eti 'huruhusiwi kupiga kura coz jina lako halimo kwny daftari' hapo ndo watakapojua kwamba tumechoka kutapeliwa. Hii nchi ni yetu sote, thubutu yao.
  11. DRLChama

    Majina umri 18-35 kukosekana uhakiki BVR

    Mm nadhani, ikiwa mtu anacho kitambulisho halali cha kupigia kura ana haki ya kupiga kura hata kama jina halimo kwny daftari la wapiga kura. Kama wanaleta mambo ya kihuni kudhulumu watu haki hii yao basi wameamua kuivuruga hii nchi. Ushahidi wangu kwamba nina haki ya kupiga kura ni kitambulisho...
  12. DRLChama

    Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Thanx Inno... Picha plz... Photos make it easy to explain the situation where texts may prove disatisfactioning.
  13. DRLChama

    Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Holla Islets, rise n shine. Update us of what's goin on around UKAWA events!!
Back
Top Bottom