1. Copy na Paste
COPY, bonyeza CTRL+ C na ku PASTE, CTRL+ V
2. Undo ( kurudisha kitu ulichokua unafanya)
Kama umefuta kitu na ukataka kukirudisha , bonyeza CTRL+Z.
3. Windows Task Manager
Ukiwa na Program ambayo Hai respond na imekataa ku close bonyeza CTRL+ ALT+ DELETE kisha chagua hiyo...
✓ Hufanya computer kuwa slow.
✓ Hufanya kompyuta kuchemka sana.
✓ Hufuta data na mafaili katika computer.
✓ Huleta madhara ya kudumu kwenye hard disk ( permanent hard disk damage).
✓ Huingilia na kuharibu mfumo wa uendeshaji wa computer ( operating system damage).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.