Recent content by drkiwelu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni kujua Taasisi za International(NGO) na Government zinazolipa vizuri, pia kujua kuhusu Taasisi za Serikali zinazoajiri wenyewe

    Asante sana Kaka, Sema izi zote si za kupitia ajira portal except TRA na TCAA natafuta na zile za kuajiri wenyewe nikaombe direct sio lazima ajira portal ambayo haiko na hak
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni kujua Taasisi za International(NGO) na Government zinazolipa vizuri, pia kujua kuhusu Taasisi za Serikali zinazoajiri wenyewe

    Dah shukrani sana kaka. Hata Mia yani zile unazoweza wewe ndugu asante sana ubarikiwe
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni kujua Taasisi za International(NGO) na Government zinazolipa vizuri, pia kujua kuhusu Taasisi za Serikali zinazoajiri wenyewe

    Habarini, wanajamii forum poleni kwa majukumu naomba msaada kujua taasisi zinazolipa mishahara mizuri kwanzia INTERNATIONAL ORGANIZATION OR NGO'S na Taasisi au Ofisi za Government. Pia naomba kujua ofisi za serikali zinazoajiri wenyewe bila kupitia ajira portal.
Back
Top Bottom