Recent content by drizzle 622

  1. D

    Kilimo cha parachichi kimekuwa fursa kwa vijana wasio na ajira

    Asee nimekuelewa vizur sana nashkur kwa mawazo na mchango wako umenipa mwanga..
  2. D

    Kilimo cha parachichi kimekuwa fursa kwa vijana wasio na ajira

    Kilimo cha parachichi kimekua n fursa sana kwa vijana kulingana na uhalisia wa soko kubwa lililopo ndan na nje ya nchi. Unaweza kutengeneza pesa kwa kuuza miche ulio iandaa au kuiotesha wewe mwenyew, matunda na kufanya biding na mengineyo. Tunawezaje kuotesha miche na kujipatia pesa, nataman...
Back
Top Bottom