Recent content by DRH9

  1. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wilaya ya Rombo kuna ucheleweshaji wa kutoa barua za uhamisho kwa watumishi

    Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshaji wa utoaji wa barua za uhamisho kwa baadhi ya watumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo. Inadaiwa kuwa baadhi ya barua za uhamisho zimekuwa zikiwasili ofisini kwa muda mrefu, lakini watumishi husika hawajaitwa au kupewa taarifa kwa wakati ili...
Back
Top Bottom