Recent content by Dragunov Sniper

  1. D

    JamiiForums Tanzania kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

    Afadhali umekiri kuwa wewe ni nabii wa uongo na umetumwa ha ha ha ha ha ha tokaaaaaaa!
  2. D

    JamiiForums Tanzania kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

    WE NABII WA UONGO HAUNIPOTEZEI MUDA,CIPI UMESHAACHA KUITABIRIA MABAYA TANZANIA AU NDO mungu WAKO AMELALA UNAMWAMSHA??
  3. D

    JamiiForums Tanzania kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

    Watanzania wanajuantaifa lao linakwenda wapi na ndo maana hata haraka hawana nikiwa miongoni mwao hasa kwenye uchaguzi wa mambo muhimu kwa taifa ,hapa linasubiriwa tangazo la siku ya kupiga kura na kujiandikisha kwa maeneo yaliyobaki then tukachague mustakabali wataifa letu kwa kura kibao za ndiyo!
  4. D

    JamiiForums Tanzania kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

    unacheka nini Limbwata la Chenge limekolea nini?ndio maana na wewe umeanza kumtaja jiangalie usipoteze muda wako katiba mpya haizuiliki wananchi tunaitaka.
  5. D

  6. D

    JamiiForums Tanzania kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

    Ndo mana nakwambia wewe huna akili kichwani hapa hatuzungumzii Rasimu ya Warioba, hapa ni katiba inayopendekezwa wewe sungura.
  7. D

    JamiiForums Tanzania kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

    Huyo babu hana katiba usipelekwe kama upepo,afu ile rasimu sasa hv watu wanaifungia maandazi mtaani wtz hawaijui unaijua wewe na familia yako.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hivi padri baptiste mapunda umegeuka kuwa mwanasiasa?

    Base katika mada wew mburura, siasa kwani yeyey mwanasiasa au umetumwa wewe?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

    Ulishaambiwa kuwa unatafta umaarufu humu ndani, sasa bora ukaimbe taarabu kuliko kujifanya unajibu hoja humu kumbe ni matapishi tupu.
  10. D

    JamiiForums Tanzania kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

    Tatizo lako wewe umesoma kipande kimoja badala ya kuisoma ibara yote hiyo, kasome tena vipengele vyote utaelewa na kuelimika, na hiyo ibara ya 129 imefafanuliwa vema tena kwa maelezo ya ziada nakwambai kuwa Bunge litatunga sheria itayoeleza muda gami wa kufungua hizo akaunti na nani anapaswa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

    Ndugu kawaulize UKAWA kwa nini walitoka bungeni?ina maana sisi wananchi tuliwatuma kukimbia mijadala ya bunge??? Je ni kweli Chenge ana Katiba?naomba na wewe utueleze hapa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hamphrey Polepole aikubali Katiba Inayopendekezwa na kusema kuwa ni ya wananchi si ya Wanasiasa

    Upatikanaji wa Katiba mpya hauepukikia,wananchi tushiriki wenyewe tusiwaachie mbwa mwitu kutugawa na kutuvuruga!!!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Rudi kwenye lugha kuu ya Kiswahili TUNU.
Back
Top Bottom