Mabadiliko kuhusu uwajibikaji au utawala bora katika nyanja mbalimbali kama elimu, afya, malezi, teknolojia, na sheria linaweza kuwa na athari kubwa katika kuboresha huduma na maendeleo katika maeneo hayo. Hapa chini nimeandika andiko linalojumuisha maoni na mawazo kadhaa kuhusu mabadiliko hayo...
Utangulizi
Uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya jamii na taifa lolote. Kwa kuwa na uwajibikaji thabiti na utawala bora unaoheshimu sheria, nchi inaweza kuendeleza mazingira ya haki, usawa, na maendeleo endelevu. Hii inahitaji uchambuzi wa kina na mjadala katika nyanja...
Mimi nitajitahidi kutoa elimu kwa jamii hasa vijana waweze kujiajiri ikiwezekana niweze kuwapa mitaji au niweze kuwatafutia ufadhili uweze kuwasaidia katika mitaji waweze kujiajiri,lakini pia ningekua kiongozi ningejitahidi sana kutafuta pesa ili niweze kuajiri wengi zaidi,ningwezesha na tasisi...
Ni jukumu la serikali kuweka mazingira wezeshi kwa watu wake ili waweze kupata ajira au waweze kujiajiri pia,jukumu kubwa sana lipo upande wa serikali,lakini pia serikali inatakiwa kuweka msingi IMARA juu ya afya za watu wote kwasababu afya ndio Kila kitu kwenye maisha yetu,ukiwa una BIMA ya...
Asante sana sana.Nikweli sana mkuu,nimeona Kila mtanzania akichangia shilingi 500 kwa wiki na ikaenda Moja kwa Moja aweze kutibiwa bure ingekubalika vizuri sana na isingeleta manung'uniko lakini pia serikali inatakiwa kutoa kiasi kilichopatikana Kila wiki,hakika afya ndio msingi wa maisha ya...
UTANGULIZI:
AFYA:Ni hali kujisikia vizuri kimwili,kiakili,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Afya ya binadamu itakua njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.Afya inajumuisha mambo yafuatayo.
1. Chakula chenye virutubisho vyote vikiwemo protini,wanga,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.