Sijakuelewe ukisema shufaa unamaanisha nin? Ila jaribu kutumia "cotrimozole" hii ni dawa yakupaka itakusaidia na kila ukitoka kuoga ujifute vyema huko chini
Tatizo hili kisayans hujulikana kama "epitaxis" husababishwa na vitu vingi ikiwemo kurithi kwa mfano mtoto anaweza kurith "haemorage talengtasia" kutoka kwa wazazi
Hii ni hali ambayo inafanya mwili kushindwa kugandisha damu kwa wakati au haraka, vile vile damu zinaweza kutoka puani kama mtu...
Maisha yanawezekana bt impact inakuja kama mtoto atachukua ile Rh postive kwa baba then wakat anazaliwa kwenye kukata kitovu damu ya mtoto ikachanganyikana na ya mama then mama atatengeneza antbodies agnst zile Rh postive, so kulingana na kwamba immunoglobin G inatabia ya kupita kwenye placenta...
Pole! Ila usiamini HIV Streps sometime huwa vina react even wit malaria! Bt kama umefanya na Determine then UN GOLD vika react vyote posibilty ya kukosekana HIV kwenye elisa ni ndogo sana!ila usiogope
Nenda kwanza hosptal kubwa yenye maabara ya kisasa then wafanye seriological test for detection of H.pylor antbodies ndipo uanze medication! Kapime kwanza usikimbilie dawa.
Hakuna madhara kama mume wako hatakuwa na maambukiz yoyote kwan hata bacteria huish kwenye spermatozoa! Kumbuka sperm is protein in nature ina kichwa chenye nucleus,mitocondria na mkia!hivyo tu! So it not bad!
Inaweza ikaambukizwa kwan kama ni intestinal ulcer inaweza kuambukizwa kwan kuna baadh ya bacteria ambao wana sababisha vidonda vya tumbo kama "H pyroli" C difficel ambao huambukizwa kwa njia ya chakula! Na matibabu yapo.
Unaumri gan na umeanza mapenz ukiwa na umri gan? Je ulisha wah kusumbuliwa na ugonjwa wowote mkubwa? Je ni aina gan ya dawa ambazo unapenda kutumia ukiumwa na magonjwa madogomadogo kama kichwa,mwil kuchoka,mafua?
Nacho weza kusema ni kwamba UTI ni neno pana sana kwan ukiangalia kirefu chake ni "urinary tract infection" kwa hiyo utaona sio ugonjwa bat ni maambukizi yote yanayo tokea kwenye njia ya mkojo! Kuna wadudu wengi sana hufanya maambukiz kwenye njia hii kama erichiarichia coli,p aurigenos,k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.