Kuna tofauti kubwa kati ya kushindwa kusimamisha uume (erectile dysfunction) na kuwahi kumwaga (premature ejaculation) , visababishi ni toauti na matibabu ni tofati.
Ufanyaji kazi wa uume unategemea ushirikiano wa vitu vinne katika usawaziko sawa; mfumo wa neva za fahamu, mfumo wa homoni, mfumo wa mishipa ya damu na mfumo wa akili na saikolojia.
Ili uume usimame na kuendelea kusimama tendo huamshwa na mfumo wa akili na taarifa husaifiri kupitia mfumo wa...
Sawasawa ndugu niliteleza nilimaanisha matumizi ya x ray katika tiba yalihasisiwa na Marie Curie, alitengeneza mashine zinazotembea aliziita Little Curie ili kupiga wanajeshi walioumia
Xray ziligunduliwa na Rontgen
Matumizi ya x-ray katika kugundua magonjwa yalihasisiwa na mwanamama mwanasayansi Marie CURIE kutoka Poland, alitumia katika vita ya dunia kutibia wanajeshi walioumia vitani.
Katika tiba vipimo vya radiolojia ni muhimu sana kwenye uchunguzi wa magonjwa mbalimbali, vipimo vingine hutumika kama tiba. Hivi ni baadhi ya vipimo ambavyo hutumika hospitalini.
NB : Vipimo hutofautiana ufanisi wa kuangalia viungo vya ndani.
1. KIPIMO CHA ULTRASOUND
Ultrasound ni kipimo...
Matibabu ya fibroids yameganyika makundi 3 makuu:
1. Matibabu ya fibroids kutumia dawa
2. Matibabu ya fibroids kwa njia ya upasuaji na
3. matibabu ya fibroids kwa njia ya kuziba mishipa ya damu inayohudumia uvimbe
Njia ya upasuaji ndio msingi mkuu wa matibabu wa fibroids maana huleta matokeo...
Kabla ya UPASUAJI WOWOTE kitu muhimu kuangalia huwa ni faida na hasara za operation husika. Upasuaji huu huitwa myomectomy katika tiba.
Hasara za kuwa na fibroids ni pamoja na kutoka damu nyingi wakati wa hedhi, maumivu ya tumbo na mgongo, matatizo ya uzazi. Hivyo upasuaji huwa na umuhimu...
Kupata hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi. Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawake 1000; wanawake 53 kati ya huwa na tatizo la kupata hedhi kupita kiasi. Ni theluthi tu ya wanawake wenye shida ya hedhi hutafuta tiba stahiki kwa daktari wengi hukaa nayo kwa...
Makosa wanayofanya kwenye matibabu ya fangasi:
1. Kutumia dawa kwa mfupi na kuacha baada ya dalili kuisha; wakati mizizi ya fangasi bado ipo ndani
2. Kutibu fangasi wa eneo moja na kuacha maeneo mengine. Mara nyingi fangasi wa usoni au kwenye pumbu hutoka miguuni katikati ya vidole lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.