Recent content by Dr Mwandishi

  1. D

    SoC04 Teknolojia na Uchumi: Namna ya Kutokomeza Wizi wa Mtandao Kupunguza Gharama za Uchapishaji Noti tukuze Uchumi

    Katika dunia ya leo, teknolojia imekuwa kiungo muhimu katika kuendeleza uchumi wa nchi. Hata hivyo, pamoja na faida zake, teknolojia pia imeleta changamoto za kiusalama kama vile wizi mtandao. Tanzania inakabiliwa na changamoto hizi huku mamilioni ya fedha yakiibiwa kutoka sehemu mbalimbali...
Back
Top Bottom